Matumaini ya mashabiki wa Yanga kumuona mshambuliaji Heritier Makambo akirejea kunako klabu hiyo yamezidi kuongezea baada ya Horoya AC kuwa tayari kumuuza
Mpango wa kwanza wa Yanga ilkuwa kumnasa nyota huyo kwa mkopo kabla ya kumsajili moja kwa moja
Inaelezwa Horoya wanataka dola 60, 000 kumuachia Makambo ambaye alitua kunako klabu hiyo kwa dola 70,000
Habari njema zaidi ni kuwa hata Makambo mwenyewe anataka uhamisho wake wa kurejea Yanga ukamilishwe haraka aweze kuungana na mabingwa hao wa kihistoria
ADVERTISE HERE