Metacha ajiongezea dozi ya mazoezi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Apr 2020
Metacha ajiongezea dozi ya mazoezi

Mlinda lango wa Yanga Metacha Mnata ameendelea kujifua kujiweka sawa wakati huu ligi ikiwa imesimama kutokana na janga la corona

Metacha ambaye pia ni mlinda lango wa timu ya Taifa, amesema mazoezi hayo anayofanya ni kwa ajili ya kujiweka 'fit' lakini pia kutekeleza program aliyoachiwa na kocha Luc Eymael

Wakati Metacha akijiweka sawa jijini Dar es salaam, Farouk Shikhalo yuko nchini Kenya nae akijifua huko

Shikhalo alirejea Kenya kuhudhuria msiba wa kaka yake, lakini ameshindwa kusafiri kurudi Tanzania baada ya Serikali ya nchi hiyo kuzuia safari za nje katika jitihada ya kudhibiti corona

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’