Katika jitihada za kukabiliana na janga la corona, kampuni ya Taifa Gas ambayo ni mmoja wa wadhamini wa klabu ya Yanga, leo wamekabidhi mashine 25 za kutakasa mwili na Barakoa 70,000 kwa Mkoa wa Dar es Salaam
Ni katika kuunga mkono jitihada za kupambana na ugonjwa Corona
Awali Taifa Gas ilitoa Tsh Bilioni moja kwa Serikali kuongeza nguvu katika mapambano hayo
ADVERTISE HERE