Bodi ya ligi yapata somo kutokana na corona

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Apr 2020
Bodi ya ligi yapata somo kutokana na corona

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Almas Kasongo amesema kwa sasa hawana kanuni yoyote inayowaelekeza nini cha kufanya kama itatokea changamoto ya ugonjwa wa corona itaendelea kwa muda mrefu

Kasongo amesema changamoto inayojitokeza sasa imewapa somo kuwa wanapaswa kuwa na kanuni ambayo itatoa mwongozo litakapotokea janga kama corona huko mbeleni

"Janga la CORONA limekuwa funzo kwetu na inatulazima mbeleni huko kuweka kanuni tena ila kwasasa hatuna kanuni ni namna gani ya kumaliza ligi endapo tutapata janga la ghafla kama hili," amesema

Hivi karibuni Katibu Mkuu wa TFF Wlfred Kidau alitangaza kuwa wamesogeza mbele muda wa kumaliza msimu kutoka May 31 mpaka Juni 30

Hata hivyo ikitokea ligi haitaweza kuchezwa hadi kufikia Juni 30, Kamati ya Utendaji ya TFF pamoja na wadau wengine wa soka nchini watakutana kupata mwafaka wa hatma ya msimu hu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’