Tujihadhari na corona, Afya zetu ni muhimu zaidi - Niyonzima

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Apr 2020
Tujihadhari na corona, Afya zetu ni muhimu zaidi - Niyonzima

Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima amewataka wananchi kuzingatia kujilinda na maambukizi ya virusi vya COVID-19 ambavyo vinasababisha ugonjwa wa corona

Nahodha huyo wa timu ya Taifa ya Rwanda amesema kulinda afya ndio jambo muhimu zaidi ambalo kila mmoja anapaswa kuzingatia wakati huu

"Kwa sasa mambo mengi yamesimama duniani kutokana na ugonjwa huu wa corona, tunapaswa kuwa makini na kuzingatia yote tunayoelekezwa ili kujikinga na ugonjwa huu," amesema

"Mimi binafsi nimekuwa nikichukua tahadhari, nafanya mazoezi binafsi ili kuwa tayari kurejea uwanjani pale changamoto hii itakapokuwa imemalizika"

"Tuomba Mwenye ez Mungu amalize janga hili ili tuweze kurudi mapema kuwapa furaha mashabiki wetu"

Niyonzima alitua Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo. Kwa kiasi kikubwa, amechangia kuifanya Yanga ionekane kuwa bora tangu alipotua mwezi Januari

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
16h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
22h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’