Eymael ataka nyota sita wapya wazawa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Apr 2020
Eymael ataka nyota sita wapya wazawa

Pamoja na kuwa na mkakati wa kusajili nyota wa kigeni, klabu ya Yanga itawapa ulaji nyota wazawa ambao kocha Luc Eymael amependekeza wasajiliwe

Yanga inatarajiwa kuwa na mabadiliko pale dirisha la usajili litakapofunguliwa

Ni kutokana na tathmini iliyofanywa na benchi la ufundi na kupendekeza usajili wa angalau nyota 10 wapya, wanne wakiwa wa kigeni

Wachezaji sita wazawa wanaweza kuongezwa katika dirisha hilo ambalo litafunguliwa baada ya ligi kumalizika

Hata hivyo bado hatma ya ligi iko kizani kutokana na changamoto ya virusi vya Corona

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’