GSM kuongeza bidhaa Yanga msimu ujao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Apr 2020
GSM kuongeza bidhaa Yanga msimu ujao

Mambo yanazidi kunoga Jangwani baada ya kampuni ya GSM na uongozi wa Yanga kuingia makubaliano mengine kwa ajili ya kutengeneza bidhaa za klabu (Club Merchandise) ambazo zitakuwa na chapa ya Yanga

Mkurugenzi wa uwekezaji kampuni ya GSM Mhandisi Hersi Said amefichua kuwa kuanzia msimu ujao bidhaa hizo zitakuwa zikipatikana sokoni sambamba na bidhaa nyingine za Yanga

Bidhaa nyingine ambazo zitatengenezwa ni pamoja na trakisuti, tisheti, vikombe, saa, viatu, bracelets, na nyingine nyingi

Mhandisi Hersi aliyasema hayo jana wakati akifanya mahojiano katika kituo cha Azam Tv

Bidhaa hizo zitatanua wigo wa mapato ya klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
16h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
22h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’