Nugaz afunguka mkakati wa usajili Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Apr 2020
Nugaz afunguka mkakati wa usajili Yanga

Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema wamejipanga kufanya usajili wa maana ambao utairejesha juu heshima ya Yanga kwenye soka la Tanzania

Akihojiwa na chombo kimoja cha habari mapema leo, Nugaz alisema wachezaji watakosajiliwa na Yanga msimu huu ni wale wa viwango vya hali ya juu

Aidha kupitia wadhamini wao kampuni ya GSM, Nugaz amesema nyota yeyote bora wa ndani bila ya kujali timu anayocheza, kama amependekezwa na kocha Luc Eymael watamsajili

Amesema fungu la kutosha la usajili limetengwa kwa zoezi hilo

"Tutasajili wachezaji wa ndani wenye kiwango kikubwa (Grade A) Tanzania, Pia tutasajili wachezaji wa nje Grade B+ kutoka popote ilimradi tu awe chaguo la Kocha Luc Eymael.

"Mchezaji yeyote ambae mshahara wake ni dolla elfu ishirini kushuka chini tuna uwezo wa kumsajili," alisema Nugaz

Hii ni habari njema kwa mashabiki wa Yanga ambao wamekuwa na shauku ya kuona wachezaji bora na wenye viwango wanasajiliwa ili kurejeha heshima ya klabu hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8m ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’