Hatma ya Chikupe, Ngasa kuamuliwa na Eymael

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Apr 2020
Hatma ya Chikupe, Ngasa kuamuliwa na Eymael

Kiungo mshambuliaji Mrisho Ngasa, beki Andrew Vicent pamoja na Deus Kaseke na Tariq Seif ni miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao inamalizika mwishoni mwa msimu

Wakati baadhi ya nyota wameanza kupewa mikataba mipya, inaelezwa Eymael aliondoka na majina ya baadhi ya wachezaji ambao aliomba akawafanyie tathmini kabla ya kuidhinisha wapewe mikataba

Afisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amethibitisha kuwa maamuzi kuhusu baadhi ya wachezaji yanamsubiri Eymael mwenyewe

"Kocha kabla ya kuondoka aliomba orodha ya wachezaji wanaomaliza mikataba kwa ajili ya kwenda kufanya tathmini yake nani na nani anawahitaji kwa msimu ujao"

"Alitarajia kuyatuma majina ya wale ambao anawataka wabaki Ijumaa iliyopita lakini hakufanya hivyo, lakini bado uongozi unaendelea kumsubiria kuona kitu gani atakisema kisha kwa wale ambao watapendekezwa kubaki tutamalizana nao mara moja," alidokeza Bumbuli

Hata hivyo Bumbuli amesema masuala mengine kuhusu mustakabali wa baadhi ya wachezaji yatafahamika baada ya msimu kumalizika

"Sasa hivi siwezi kukwambia ni mchezaji gani ataondoka na nani atabaki. Tuwe na subira, msimu ukimalizika nadhani kila kitu kitafahamika"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’