Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya kiungo na nahodha wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi
Akiwa kwenye msimu wake wa tatu sasa, Tshishimbi amedhihirisha kwa nini mabosi wa Yanga walivunja benki kumnasa kutoka klabu ya Mbabane Swallows ya eSwatini
Kwa sasa Tshishimbi ndiye mchezaji kiongozi Yanga, mashabiki wakisubiri kwa hamu kusikia amemwaga wino kuendelea kukipiga kwa mabingwa hao wa kihistoria
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY PAPY TSHISHIMBI
ADVERTISE HERE