Nahodha msaidizi wa Yanga Thabani Kamusoko ameshindwa kujumuika kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Zimbabwe licha ya kuitwa kutokana na kuwa majeruhi.
Kamusoko hajaonekana dimbani kwa takribani wiki tatu sasa akisumbuliwa na majeraha.
Kamusoko amesema majeraha yake yanamnyima raha kwani anakosa fursa muhimu za kuisaidia timu yake ya Yanga na timu ya Taifa.
Kiungo huyo muasisi wa 'kampa kampa tena' hayumo kwenye kikosi cha Yanga kitakachoivaa Singida United kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kesho Novemba 04.
Anaungana na Amissi Tambwe na Donald Ngoma ambapo waote hawakusafiri mkoani Singida kutokana na majeruhi.

ADVERTISE HERE