Uongozi wa klabu ya Yanga umemtumia salamu za rambirambi Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kufuatia kifo cha Mtangazaji nguli Marin Hassan aliyefariki dunia leo

ADVERTISE HERE