Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limeweka malengo kuhakikisha ligi inamalizika Juni 30 2020
Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidao amesema changamoto ya janga la Corona, imepelekea kusogeza mbele muda wa kumalizika ligi hiyo kutoka May 30
Hata hivyo Kidau amesema wanaweza kufuta msimu kama janga hilo halitakuwa na ahueni ifikapo Juni 30
Lakini TFF imefafanua kuwa maamuzi yoyote yataamuliwa na Kamati ya Utendaji ya TFF

ADVERTISE HERE