Benard Morrison pengine anaweza kuwa mchezaji bora wa VPL kuanzia mwezi Januari kutokana na mambo makubwa anayofanya
Lakini pia kila jambo linahitaji maandalizi ikiwa ni pamoja na kula vizuri na kupata muda wa kutosha wa kupumzika
Kwa wale wachezaji wanaopenda kula chips kuku, pengine wanaweza kujifunza hapa...!
ADVERTISE HERE