Msimu huu kila Mwanayanga alikuwa na shauku ya kuona timu inafanya vizuri kwenye ligi hasa kutwaa ubingwa baada ya kuukosa kwa misimu miwili
Lakini ni wazi, kwa hali ilivyo jambo hilo halionekani kutokea, pengine ni vyema kuanza mikakati kwa ajili ya msimu ujao
Kama mdau na shabiki namba moja wa Yanga, unadhani tumekwama wapi msimu huu?
Na ikitokea umepewa nafasi ya kuwashauri viongozi wa Yanga nini wafanye ili msimu ujao mambo yawe sawa?
Mjadala huu umewekwa mahsusi, maoni yenye manufaa wahusika watayafanyia kazi
Β
ADVERTISE HERE