Nahodha Msaidizi wa Yanga Juma Abdul ameamua kurejea kivingine baada ya janga la Corona kwani kanyoa nywele zake
Tangu msimu uliopita Abdul alikuwa akifuga rasta, lakini kuanzia jana, nyota huyo aliamua kuziondoa rasta hizo na kunyoa upara
Kwa sasa wachezaji wa Yanga wanaendelea na mapumziko wakati Serikali ikiendelea na jitihada za kudhibiti maambukizi ya Corona


ADVERTISE HERE