Mjumbe wa kamati ya Utandaji ya Yanga Rodgers Gumbo ametangaza kujiuzulu nafasi zote za uongozi ndani ya Yanga
Gumbo ameungana na Salum Rupia kutangaza kujivua nyadhifa zote Yanga wakiungana na Shija Richard
Ni wazi maamuzi haya ni matokeo ya sakata la GSM
ADVERTISE HERE