Kwa sasa lile vuguvugu la kiungo wa Yanga Papy Kabamba Tshishimbi ni kama limetulia ivi baada ya mwamba huyo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuitwa na uongozi wa Yanga
Mapema jana Tshishimbi alifika Makao Makuu ya klabu ya Yanga Mitaa ya Twiga na Jangwani ambako alifanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa mabingwa hao wa kihistoria Dk David Luhago
Inaelezwa kupitia kikao hicho, suala la mkataba wake limepatiwa ufumbuzi
Leo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Tshishimbi amebandika picha inayoonekana juu ikimuonyesha akiwa na furaha ofisini kwa Dk Luhago
ADVERTISE HERE