Nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi anatarajiwa kusaini mkataba mpya kuendelea kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria baada ya makubaliano kufikiwa
Mapema leo, Tshishimbi alifika Makao Makuu ya klabu ya Yanga kwa ajili ya mazungumzo ya mwisho ya mkataba huo
Inaelezwa pande zote zimekubaliana na siku ya Jumatatu atasaini mkataba wa kuendelea kubaki Jangwani
Tetesi nyingi kuhusu hatma yake zimeendelea kutawala lakini hatimaye amekubali kuongeza mkataba mpya
ADVERTISE HERE