Fei Toto kuuwasha moto ligi ikirejea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Mar 2020
Fei Toto kuuwasha moto ligi ikirejea

Kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema hana wasiwasi na kiwango chake ligi itakapoanza atakuwa bora zaidi.

Fei Toto amesema akicheza anakuwa anajisikia burudani kwa kuwa anapenda soka ndio jambo linalomwaminisha hatayumba kiuwezo.

"Kipaji cha mtu hakiwezi kuyumbishwa kwa namna yoyote ile labda aumwe, ugonjwa wa corona tunaambiwa namna ya kujikinga hivyo hauwezi kuzuia kufanya mazoezi."

"Siwezi kujisikia raha bila kufanya mazoezi kwa sababu nakuwa nahisi kama napungukiwa, kikubwa ni mchezaji mmoja mmoja kujitambua basi," amesema Fei Toto.

Fei Toto amesisitiza anaendelea kufanya mazoezi ya gym na kukimbia kuhakikisha akirejea kazi anakuwa katika kiwango cha juu

Baada ya kukosekana kikosi kwa muda, Fei Toto amerejea akiwa kamili akipata nafasi ya kuanza katika mechi nne mfululizo

Ubora ulioonyesha katika mechi hizo ulimfanya arudishwe kikosi cha timu ya Taifa ambacho kilikuwa kikijiandaa na michuano ya CHAN kabla ya kambi kuvunjwa kutokana na changamoto ya virusi vya COVID-19

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’