Mabadiliko ya wachezaji, benchi la ufundi yametugharimu - Tshishimbi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Mar 2020
Mabadiliko ya wachezaji, benchi la ufundi yametugharimu - Tshishimbi

Nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi amekiri kuwa mabadiliko ya wachezaji na benchi la ufundi yamechangia wao kushindwa kufanya vizuri kinyume na matarajio

Akihojiwa na redio moja maarufu nchini, Tshishimbi amesema mabadiliko hayo yamekuwa na athari nyingi

"Kila mwalimu anakuwa na mfumo wake, hivyo kunapotokea mabadiliko ya mwalimu kila kitu kinabadilika. Hata wachezaji nao wakibadilika kunakuwa na athari kwani mkicheza pamoja mnazoeana sasa wakiondoka wengine na kuja wapya mtachukua mda kuzoeana tena," amesema

Ashauri usajili uendane na ukubwa timu

Katika hatua nyingine Tshishimbi amesema ipo changamoto ya aina ya usajili ambao klabu ya Yanga inafanya

Amesema ni vyema viongozi wa Yanga wakasajili wachezaji ambao wanaendana na ukubwa wa timu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’