Ambani aliitahadharisha kuhusu Yikpe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Mar 2020
Ambani aliitahadharisha kuhusu Yikpe

Nyota wa zamani wa Yanga Boniface Ambani amesisitiza kuwa timu hiyo ilifanya makosa kumsajili mshambuliaji Yikpe Gnamien raia wa Ivory Coast bila ya kumfanyia majaribio

Yikpe alisajiliwa na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya Gor Mahia ambako alivunja mkataba baada ya kudumu kwa miezi mitano tu

Kabla ya nyota huyo kupewa mkataba, Ambani ambaye ni mchambuzi wa soka huko Kenya, aliwashauri mabosi wa Yanga wasiingie kichwa kichwa kwa kumsajili nyota huyo bila ya majaribio

Mpaka sasa Yikpe ameshindwa kuonyesha makali na uongozi wa Yanga inaelezwa unafikiri kuvunja mkataba wake mwishoni mwa msimu

Lakini pia makosa yalifanyika kwa kumpa mkataba wa muda mrefu wakati mtu kama Bernard Morrison alipewa mkataba wa miezi sita tu

Haya ndio makosa ambayo Yanga inapaswa kutoyarudia kwenye usajili unaokuja

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
57m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’