Mexime afichua kuwa na mkataba wa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Mar 2020
Mexime afichua kuwa na mkataba wa Yanga

Kocha wa Kagera Sugar , Mecky Mexime amefichua kuwa anao mkataba na Yanga lakini bado hajasaini

Mexime amebainisha kuwa alifanya mazungumzo na uongozi wa Yanga mwishoni mwa mwaka jana lakini kuna baadhi ya vipengele havikuwa vimewekwa sawa hivyo bado hajasaini mkataba huo wala kuurudisha

Nahodha huyo wa zamani wa timu ya Taifa amesema haoni shida kuwa kocha msaidizi wa Yanga kama mambo yote yatawekwa sawa

"Mimi kuwa kocha msaidizi wala sio kikubwa Maslahi ndio jambo kubwa na zuri kwangu,naangalia ninachopata Kagera na watakachonipa Yanga," amesema

Kwa sasa Yanga inanolewa na Luc Eymael akiwa kocha Mkuu na Charles Mkwasa akiwa kocha msaidizi

Mpango uliokuwepo awali Mexime angechukua nafasi ya Mkwasa ambaye angepandishwa cheo kuwa Mkurugenzi wa ufundi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’