Klabu ya Yanga imekanusha taarifa zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii zikieleza tuhuma mbalimbali kwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Bwa Paul Makonda katika masuala yanayohusiana na klabu ya Yanga
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Yanga Dk David Ruhago imesema Yanga haihusiki na taarifa hiyo inayosambaa mapema leo kwenye mitandao ya kijamii

ADVERTISE HERE