Hili la RC Makonda linafikirisha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Mar 2020
Hili la RC Makonda linafikirisha

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda ameeleza kushangazwa na nguvu waliyotumia Yanga kupata ushindi dhidi ya Simba akibainisha kuwa haamini kama Yanga ingeweza kuifunga Simba katika mazingira ya kawaida

Yanga iliifunga Simba bao 1-0 Katika mchezo uliopigwa March 08 kwenye uwanja wa Taifa

Juzi wakati akiikabidhi KMC kitita cha Tsh Milioni 20 baada ya kuifunga Yanga, Makonda alieleza kushangazwa na nguvu walizokuwa nazo Yanga kwenye mchezo huo

"Hii mechi ya Simba na Yanga tulifungwaje mpaka keshokutwa sielewi. Najiuliza hawa watu hii nguvu waliitoa wapi? Mpaka leo natamani ya kwamba tuanze kuweka kakipimo pale uwanja wa Taifa ili kila mtu anatema mate kabla ya kucheza," alisema Makonda

Kauli hiyo imelaaniwa vikali na wadau wa soka nchini kwani kwa nafasi yake, pamoja ya kuwa ni mshabiki na mshauri wa Bodi ya Wakurugenzu ya klabu ya Simba, hapaswi kutumia nafasi yake kwa namna yoyote kuikandamiza timu nyingine ya mkoa wake

Mh Makonda anapaswa kuwa mlezi wa timu zote za mkoa wa Dar es salaam

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’