Nina kadi tatu za njano - Niyonzima

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Mar 2020
Nina kadi tatu za njano - Niyonzima

Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima ametoa ufafanuzi wa kile kilichopelekea asisafiri na timu mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo dhidi ya Namungo Fc

Kumekuwa na mengi yanazungumzwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kiungo huyo wengine wakidai amesimamishwa na uongozi na wengine wakizusha kuwa umegoma kusafiri

Mwenyewe amefunguka kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii;

"Assallam Alaikum w.w!! niseme tu kwamba nayaona mengi mtandaoni kuhusu mimi kugoma kwenda na timu Lindi kwenye mchezo wetu dhidi ya Namungo Fc"

"Mimi kama mchezaji halali kabisa wa Yanga African nina kadi tatu za njano ambazo haziniruhusu kuweza kucheza mchezo wa leo"

"Pia niseme kama sina tatizo lolote na timu yangu hivyo niwatakie mchezo mwema na niombe mashakabaki waendelee kuwa na sisi kwa kipindi iki kwani msaada wao ni muhimu sanaaa kwetu," amefunguka Niyonzima

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’