Wakati Yanga leo ikitarajiwa kuumana na Namungo Fc kwenye mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa uwanja wa Majaliwa, baadhi ya nyota watakosekana kutokana na sababu mbalimbali
Wachezaji wanaokosekana ni pamoja na Haruna Niyonzima ambae ana kadi tatu za njano hivyo haruhusiwi kucheza mchezo mmoja kikanuni
Wengine ni Kelvin Yondani yeye amepata ruhusa ya Mwalimu kwasababu za kifamilia, Lamine Moro, Mohamed Issa (Mo Banka) na Adeyum Saleh ambao ni wagonjwa
Pia yumo David Molinga ambaye yeye aliomba ruhusa kutokana na Mkewe kuwa mgonjwa
ADVERTISE HERE