Yanga yapongeza nyota walioitwa Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Mar 2020
Yanga yapongeza nyota walioitwa Stars

Uongozi wa klabu ya Yanga umewapongeza wachezaji wake saba walioitwa timu ya Taifa kwa ajili ya mchezo wa kusaka tiketi ya michuano ya AFCON dhidi ya Tunisia na fainali za michuano ya CHAN inayofanyika mwezi ujao huko Cameroon

"Tunawapongeza wachezaji wetu saba waliochaguliwa kujiunga na timu ya Taifa, Taifa Stars," imesema taarifa ya Yanga

Wakati wachezaji wengine wakitarajiwa kuingia kambini Alhamisi, March 12, nyota hao wa Yanga wao wataingia kambini baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa March 15 mkoani Lindi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’