Metacha ashinda tuzo ya mchezaji bora vs Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Mar 2020
Metacha ashinda tuzo ya mchezaji bora vs Simba

Mashabiki wa Yanga wamempigia kura mlinda lango Metacha Mnata kuwa nyota wa mchezo dhidi ya Simba ambao ulipigwa jana uwanja wa Taifa

Katika mchezo huo ambao Yanga ilishinda kwa bao 1-0, Metacha alifanya kazi ya ziada kuhakikisha mabingwa hao wa kihistoria wanaondoka na alama zote tatu

Metacha amewashinda Bernard Morrison, Feisal Salum na Lamine Moro

Hakika ni tuzo aliyostahili pamoja na kuwa wachezaji wote wa Yanga walifanya kazi kubwa kuhakikisha ushindi unapatikana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’