Pichani Bernard Morrison akibusu kiatu chake baada ya mchezo dhidi ya Simba ambao ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0
Ni mpira wa adhabu aliopiga kwenye dakika ya 44 kwa kutumia guu la kulia lililovaa kiatu hicho, ulipelekea furaha Jangwani na kupeleka kilio Msimbazi
Lakini pia ni kiatu hicho ambapo kimewapa yeye na wachezaji wenzake zawadi ya zaidi ya Milioni 300, fedha za hamasa zilizotolewa na GSM...!
ADVERTISE HERE