Chama alitaka kumvunja mguu Fei Toto kisa kamfunika dimbani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Mar 2020
Chama alitaka kumvunja mguu Fei Toto kisa kamfunika dimbani

Alianza Paschal Wawa kumkanyaga kwa makusudi mshambuliaji wa Yanga Ditram Nchimbi kwenye mchezo wa kwanza wa watani wa jadi ambao ulipigwa uwanja wa Taifa na kumalizika kwa sare ya mabao 2-2

Tukio lile lilipigiwa kelele sana na wadau wa soka nchini lakini hakukuwa na hatua zozote zilizochukuliwa

Jana tena Clatous Chama amefanya tukio la 'kijinga' kwa kumkanyaga kwa makusudi Feisal Salum 'Fei Toto'

Inashangaza kwa nini mwamuzi hakumpa Chama kadi nyekundu kwani ni tukio ambalo lilistahili kadi nyekundu ya moja kwa moja

Eti hawa ndio wachezaji 'professional' ambao kutwa wanasifiwa, mchezaji 'professional' hawezi kufanya tukio la aina ile ambalo lingeweza kumaliza maisha ya soka ya mchezaji mwenzake

Litakuwa jambo la kushangaza kama TFF wataliacha hili nalo lipite kama lile la Wawa

Mpira ni mchezo wa kiungwana, matukio haya ya kihuni kwenye soka hayakubaliki na ndio maana kwenye ligi za wenzetu wale wanaofanya matukio haya wanafungiwa muda mrefu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’