Leo wachezaji wa Yanga wamefanya kile kilichokuwa kikisubiriwa kwa hamu na mashabiki , ushindi dhidi ya Simba ni matokeo ambayo kila mmoja alikuwa akiyasubiri kwa hamu
Ndio maanda wadhamini wa klabu hiyo GSM, waliahidi kitita cha Tsh Milioni 200 kwa ushindi wa leo
Zawadi yao ya ushindi Tsh Milioni 200 iko mezani, kila mchezaji ana uhakika wa kuondoka na sio chini ya Milioni 7
Hakika leo ni siku ya furaha kwa wachezaji pamoja na mashabiki wa Yanga
Kwani ushindi huu umesubiriwa kwa takribani miaka mitano
ADVERTISE HERE