Yakiwa yamebaki masaa machache kuelekea mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa, saa 11 jioni kwenye uwanja wa Taifa, mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison amesema yeye pamoja na wenzake wako tayari kwa mchezo huo
Yanga wataingia kwenye mchezo huo wakiwa wenyeji, hesabu zote ziko kwenye alama tatu
Morrison anatarajiwa kuibeba Yanga leo, amesema hana hofu kuelekea dabi yake hiyo ya kwanza nchini
Swali kuna beki yeyote wa Simba ataweza kumkaba huyu mwamba kutoka Ghana?
Saa 11 jioni kila kitu mbashara uwanja wa Taifa...!
ADVERTISE HERE