Tupe utabiri wako wa kikosi cha leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Mar 2020
Tupe utabiri wako wa kikosi cha leo

Leo afe kipa, afe beki mnyama lazima afe uwanja wa Taifa. Ni mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao utapigwa kuanzia saa 11 jioni

Kocha Luc Eymael anakazi ya kuchagua wanaume 11 ambao watawapa furaha mashabiki wa Yanga wanaotarajiwa kufurika kwa wingi uwanja wa Taifa baadae leo

Hapa tumekuwekea utabiri wa kikosi ambavyo kinaweza kuanza;

Mdau weka utabiri wako, unadhani Eymael anapaswa kuanza na kikosi kipi ili kuihakikishia ushindi Yanga leo?

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’