Pamoja na jezi orijino za Yanga brand chappa GSM kupatikana kwenye maduka ya GSM kote nchini, kuelekea mchezo dhidi ya Simba keshokutwa, gari maalum limeandaliwa kwa ajili ya kuwafikia wananchi maeneo wanamoishi ili kujipatia jezi Grade B kwa Tsh 20,000/- tu
Gari hilo linakatiza mitaa yote ya jijini Dar es salaam leo likipita Ilala, Buguruni, Vingunguti, Banana, Tabata, Ukonga na Gongo la Mboto
Kesho Jumamosi gari hilo litapita Ubungo, Kigogo, Kimara na Mbezi
Hii ni fursa kwa Mwanajangwani kujipatia jezi yako ili utokelezee kibingwa siku ya Jumapili
ADVERTISE HERE