Mabadiliko kutangazwa baada ya dabi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Mar 2020
Mabadiliko kutangazwa baada ya dabi

Inaelezwa tayari mambo yameiva huko Jangwani kwani uongozi wa timu hiyo unatarajiwa kutangaza mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo baada ya mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa uwanja wa Taifa keshokutwa Jumapili

Ikumbukwe hivi karibuni Yanga ilimleta mtaalam kutoka Ureno ambaye atasimamia mabadiliko hayo kwa kushirikiana na Kamati ya Mabadiliko iliyoundwa na Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla

Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amewaambia Wanayanga kuwa wakae mkao wa kula kwani mambo yameiva

Akihojiwa na chombo kimoja cha habari jana, Nugaz alisema wiki ijayo watatangaza mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo

Hii ni habari njema kwa wadau wa klabu ya Yanga ambao kwa muda mredu wamekuwa na shauku ya kuona jambo hilo likitokea

Yanga ndo klabu ya kwanza kubadili katiba yake kutambua mfumo wa uwendeshaji wa kampuni

Hata hivyo jambo hilo lilikumbana na vikwazo vingi huku mwaka juzi wakiwashuhudia watani zao Simba wakifanya mabadiliko ambayo yamewapa mafanikio makubwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’