Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael anaendelea kukiandaa kikosi chake kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumapili, March 08
Mazoezi yanafanyika uwanja wa Chuo cha Sheria huku timu ikiweka kambi Regency Hotel






ADVERTISE HERE