GSM yaweka mezani Milioni 200 mechi dhidi ya Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Mar 2020
GSM yaweka mezani Milioni 200 mechi dhidi ya Simba

Kama kuna anaedhani Yanga inauchukulia poa mchezo dhidi ya watani zao Simba ambao utapigwa Jumapili, pole yake kwani mabingwa hao wa kihistoria wamejipanga kwelikweli kushinda mchezo huo

Wadhamini wa klabu ya Yanga kampuni ya GSM wameahidi kutoa kitita cha Tsh Milioni 200 kama Yanga itashinda mchezo huo

Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema fedha hizo watakabidhiwa 'taslim' baada ya mchezo ingawa utaratibu wa makabidhiano utabadilika kutokana na wingi wake

Aidha Nugaz amesema kuwa bado GSM wanaendeleza utaratibu wa kutoa bonas ya Tsh Milioni 10 kwa wachezaji pale timu inaposhinda ingawa kwa sasa hawatangazi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
38m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’