Mechi dhidi ya Simba kupigwa saa 12 jioni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Mar 2020
Mechi dhidi ya Simba kupigwa saa 12 jioni

Azam TV wataonyesha 'Mbashara' mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba, wamebainisha kuwa mchezo huo utapigwa kuanzia saa 12 jioni

Shamrashamra kuelekea mchezo huo zimeanza kupamba ambapo baadae leo uongozi wa Yanga utafunguka kuhusu maandalizi ya kikosi chao kuelekea mchezo huo

Yanga imeweka kambi katika moja ya hotel maarufu jijini Dar es salaam, ikielezwa ulinzi wa kambi hiyo ni wa hali ya juu

Kocha Luc Eymael amepania kupata ushindi wake wa kwanza dhidi ya Simba akitamba kuwa amewasoma Simba na hawatamsumbua Jumapili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’