Ligi Kuu ya Vodacom iliendelea leo kwenye viwanja vitano tofauti huo ukiwa mwendelezo wa mzunguuko wa nane.
Mtibwa Sugar ilikuwa na nafasi ya kuongoza ligi kama ingeibuka na ushindi dhidi ya Singida United, vijana wa Hans van Pluijm.
Hata hivyo mchezo huo ulimalizika kwa suluhu ya 0-0 na hivyo kuufanya msimamo wa ligi ubaki kama ulivyokuwa.
Aidha Kagera Sugar inayonolewa na kocha bora wa msimu uliopita Meck Mexime imepata ushindi wake wa kwanza leo baada ya kuilaza Ndanda FC mabao 2-1.
Matokeo ya michezo yote

ADVERTISE HERE