Kikosi cha Yanga timu ya vijana U17 kimeendelea kufanya vizuri kenye ligi kuu ya TFF ngazi ya vijana
Vijana hao wako kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa wamejikusanyia alama 24 baada ya kushuka dimbani mara 12
Watani zao Simba wanashika nafasi ya pili wakiwa na alama 23

ADVERTISE HERE