Tarehe kama ya leo alizaliwa beki kiraka wa Yanga Ali Mtoni 'Sonso'
Sonso alijiunga na Yanga mwezi Juni akitokea klabu ya Lipuli Fc
Mchango wake umeonekana kwenye kikosi cha Yanga kwani amefanya vizuri kila alipopewa nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY ALI MTONI..!
ADVERTISE HERE