Yanga vs Mbao Fc, uwanja wa Taifa, saa moja usiku

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Mar 2020
Yanga vs Mbao Fc, uwanja wa Taifa, saa moja usiku

Kikosi cha Yanga leo kinashuka uwanja wa Taifa kuikabili Mbao Fc katika mchezo ambao utapigwa saa moja usiku

Huo ni mchezo wa 24 kwa Yanga wakati kwa upande wa Mbao Fc ni mchezo wa 26

Baada ya kushinda mechi zote mbili zilizopita, Yanga itakuwa ikisaka ushindi wa tatu mfululizo

Muhimu zaidi mabingwa hao wa kihistoria watatumia mchezo huu kama sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumapili ijayo

Kikosi atakachotumia Eymael leo kitatoa mwanga wa kikosi kitakachoshuka dimbani March 08

Viingilio vya mchezo huo VVIP ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- wakati upande wa mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Lakini kwa wale watakaonunua jezi orojino za Yanga kwa bei ya Tsh 35,000/-, watapatiwa tiketi za bure (piga 0715623821)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’