Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Feb 2020
Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto'

Kwa mara ya kwanza kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' leo alipata nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kocha Luc Eymael akichukua nafasi ya nahodha Papy Tshishimbi aliyepata majeraha

Hakika hakumwangusha Eymael kwani alikuwa na kiwango bora sana kwenye mchezo huo

Alikuwa na ushirikiano mzuri na Haruna Niyonzima, alianzisha mashambulizi na kuilinda vyema safu ya ulinzi

Hakuna shaka kwa kiwango alichoonyesha kwenye mchezo huo, huenda akaanza kuonekana kwenye kikosi cha kwanza mara kwa mara

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’