Timu ya Wanawake, Yanga Princess leo imeibuka na ushindi mnono wa mabao 8-1 dhidi ya Mash Queens ya Mwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliopigwa Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam

ADVERTISE HERE