Ratiba CHAN hadharani, Stars kuanza na Zambia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Feb 2020
Ratiba CHAN hadharani, Stars kuanza na Zambia

Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ndani (CHAN) inaanza mwezi April mwaka huu Tanzania ikiwa miongoni mwa timu 16 zilizofuzu kwa michuano hiyo

Stars imepangwa kundi pamoja na mataifa ya Zambia, Namibia na Guinea

Kulingana na ratiba ya michuano hiyo iliyotolewa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) mapema leo, Stars itacheza mechi yake ya kwanza dhidi ya Zambia April 07 2020

April 11 itacheza na Namibia kisha kumaliza na Guinea April 15 2020

Ushiriki wa Tanzania kwenye michuano hiyo utapelekea ligi kuu ya Vodacom kusimama kwa takribani mwezi mmoja kuanzia March 18

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’