Yanga yarejea Dar kuiwinda Gwambina FC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Feb 2020
Yanga yarejea Dar kuiwinda Gwambina FC

Baada ya kulazimishwa matokeo ya suluhu dhidi ya Coastal Union jana, kikosi cha Yanga kilisafiri usiku kwa usiku kurejea jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa kombe la FA dhidi ya Gwambina FC

Mchezo huo utapigwa kweshokutwa Jumatano Februari 26 kwenye uwanja wa Taifa

Kutokana na mwenendo wa kusuasua kwenye ligi, Yanga italazimika 'kukomaa' na FA ili kuhakikisha inatwaa taji hilo kupata nafasi ya kushiriki michuano ya Shirikisho barani Afrika msimu ujao

Kwani Matumiani ya kutwaa taji la ligi kuu tayari yametoweka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’