Nugaz uso kwa uso na mashabiki wa Yanga Tanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Feb 2020
Nugaz uso kwa uso na mashabiki wa Yanga Tanga

Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz leo alikumbana na wakati mgumu kutoka kwa mashabiki wa timu hiyo mkoani Tanga baada ya kumalizika kwa mchezo dhidi ya Coastal Union uliomalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Maafisa wa Jeshi la Polisi walilazimika kuingilia kati kutuliva vurumai lililoibuka kati yake na mashabiki waliokuwa na hasira baada ya kuchukizwa na matokeo ya mchezo wa leo

Huu ni mchezo wa nne Yanga haipati matokeo, ni jambo ambalo linawaumiza sana mashabiki

Wakati mwingine mashabiki wanakosa uvumilivu, lakini jambo hili linasababishwa na mapenzi makubwa kwa timu yao

Uongozi wa Yanga una kazi ya kufanya kuhakikisha wanarejesha furaha ya mashabiki wao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’