Morrison ruksa kuivaa Coastal Union

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Feb 2020
Morrison ruksa kuivaa Coastal Union

Pamoja na kupelekwa Kamati ya Nidhamu ya TFF, Bernard Morrison kesho atakuwa na nafasi ya kuiongoza Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union

Morrison atahudhuria kikao cha Kamati hiyo baada ya mchezo dhidi ya Coastal Union

Mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu, utapigwa kwenye uwanja wa Mkwakwani

Tangu atue Yanga mwezi uliopita, Morrison amekuwa mchezaji wa kutegemewa kikosi cha kwanza

Ameifungia Yanga ,mabao matatu na kutoa pasi nne za mabao kwenye mashindano yote

Morrison anaweza kufungiwa mechi tatu ambapo huenda akakosa michezo dhidi ya Gwambina, Alliance na Mbao Fc lakini anaweza kuwepo kwenye mchezo wa March 08 dhidi ya Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’