Tarehe kama ya leo kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' alizaliwa kule visiwani Zanzibar
Msimu uliopita Fei Toto alikuwa silaha muhimu ya Yanga kwenye michuano mbalimbali
Hali imekuwa tofauti msimu huu, anakabiliwa na changamoto ya kupata nafasi kwenye kikosi cha kocha Luc Eymael
Lakini Fei Toto ni miongoni mwa wachezaji waliobarikiwa kuwa na vipaji vya kusakata kabumbu
Bado ana miaka mingi ya kuonekana dimbani kama atajitunza vyema, kwani ndio kwanza ametimiza miaka 21
HAPPY BIRTHDAY FEI TOTO..
ADVERTISE HERE